Habari za Punde

Waziri Mazrui akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga T/Bara

Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Ziada J Sella wa Wizara ya Afya Tanzania bara na katika mazungumzo yao wamesisitiza kushirikiana katika kuimarisha huduma za Afya huko ofisini kwake
 Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akiwa katrika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Ziada J Sella wa Wizara ya Afya Tanzania bara

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.