RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akishangilia bao la nne la mkwaju wa penenti lililofungwa na mchezaji laqman
Othman lililoipa Ubingwa wa wa Kombe la CECAFA U-15. Timu ya Taifa ya Zanzibar
Karume Boys chini ya Umiri wa miaka 15, katika mchezo wa fainali dhidi ya Timu
ya Uganda, akifuatilia mchezo wa fainali hiyo akiwa Ofisini kwake Ikulu Jijini
Zanzibar. Timu ya Taifa ya Zanzibar Karume Boys imshinda mchezo huo kwa penenti
4-3.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment