Habari za Punde

NIC Yamzawadia Zawadi Mchezaji Bora wa Mechi Kombe la Mapinduzi 2023/2024.

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC ) Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Masoud akimzawadi zawadi   wa shilingi laki tano Mchezaji Bora wa Mechi Kati ya JKU na Singida Elvis Rupia, kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo kwa kufunga mabao mawili katika mchezo huo uliofanyika jana usiki katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Singida imeshinda kwa mabao 4-1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.