Habari za Punde

Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival Kukuza Utalii Mkoani Kilimanjaro

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akizindua program ya‘’Kilimanjaro Home Stay’’ inayohusu utaratibu wa kutumia nyumba za wenyeji kutoa huduma za malazi kwa wageni hususan kipindi cha matukio makubwa kama vile mbio za Kilimanjaro Marathoni ili kukuza vipato kwa jamii moja kwa moja katika Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival lililofanyika kwenye viwanja vya Kili Home Garden, Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akionja mojawapo ya chakula  cha kiutamaduni cha jamii ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro, katika Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival lililofanyika kwenye viwanja vya Kili Home Garden, Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro leo Desemba 28,2023.  Kushoto ni  Mwenyekiti wa Kilimanjaro Cultural Festival,  Hans Mmasi.

Baadhi ya washiriki wa Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza katika tamasha hilo lililofanyika kwenye viwanja vya Kili Home Garden, Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.