Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapinduzi CUP 2023/2024 Kati ya Singida FG na APR FC. Mchezo Unaofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu ya Singida Imeshinda Mchezo huo kwa Bao 3-1

Mchezaji wa Timu ya Singida FG na Mchezaji wa Timu ya APR FC wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya Singida imeibuka mshindi katika mchezo huo kwa bao 3-1.
Mchezaji wa Singida FG na wa Timu ya APR FC, wakiwania mpira katika michezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya Singida imeshinda mchezo huo kwa bao 3-1.


Mshambuliaji wa Timu ya Singida FG Elvis Rupia akiifungia Timu yake kwa mkwaju wa penenti goli la kusawazisha, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024, Timu zikienda mapumziko zikiwa zimefungana bao 1-1.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.