Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja.

MUONEKANO wa jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyofunguliwa leo 9-1-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Tumekuja kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo leo 9-1-2024 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja eliyoko katika eneo la muembeladu, hafla hiyo iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kuipongeza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kukamilisha Mradi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja iliyoko katika eneo la muembeladu na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya darasa la somo la Komputa katika Skuli ya Sekonda ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 9-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (Kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Lela Muhamed Mussa

Wanafunzi wa Darasa la 4 Skuli ya Jendele Wilaya ya Kati Unguja Hamisuu Juma Mohammed na Abdulkarim Mohammed Nahodha , wakisoma Utenzi maalum wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa shamrashamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyoko katika eneo la mtaa wa muembeladu Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

VIONGOZI  wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, uliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
VIONGOZI  wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

VIONGOZI wa Vyama vya Siasa wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 9-1-2-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.