Habari za Punde

Shirika la Bima la Taifa NIC Kuwazawadia Wachezaji Boro Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

Mkurugenzi Masoko na Mawasiliano NIC Ndg. Karimu Mashack akimkabidhi zawadi ya Mchezaji Bora wa Michezo wa Kombe la Mapinduzi kutoka Klabu ya Yanga, baada ya kuonesha mchezo mzuri katika mchezo wao na Timu ya Jamhuri, uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 5-0 

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Khamis Msami akimkabidhi zawadi mchezaji Bora wa Timu ya Jamus Omer Michael dhidi ya KVZ, mchezi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.