Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga Gamondi akitowa maelekezo kwa wachezaji wake, wakati wa mapunziko mafupi ya kupa maji, wakati wa mchezo wao wa pili wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 na Timu ya Jamus, mchezo unaofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Yanga imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Magazeti : Pitia Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo; 16:09:2025
-
Magazeti ya Leo
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisements.
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment