Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amemtembelea na kumjulia hali kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Manispaa ya Morogoro Mkoa wa Morogoro Aprili 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu)
Parimatch yazindua promosheni ya Twenzetu Dubai, Zaylissa, Kiredio waula
-
Na Mwandishi wetu.
Dar es Salaam. Mashabiki wa soka, tenisi, UFC, Kriketi, baseball na michezo
mingine sawa wanaweza kushinda tiketi ya kwenda Dubai ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment