Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Kilimani Tazari katika Kisomo na Dua ya Kumuiombea Rais Mstaafu wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi Kilichofanyika Masjid Hidaya Tazari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuiombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari. na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid.
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalia Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti baada ya kumalizika kwa Dua na Kisomo cha Hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024, katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi. (hayupo pichani) akizungumza kuwasalimia na kutowa shukrani kwa niaba ya familia yake, baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuiombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti wakijumuika katika kuitikia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.