RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kufuatilia khutba ya Ibada ya
Sala ya Ijumaa ikisomwa na Sheikh.Ali Abdulrahaman Alhilal, kabla ya Sala ya
Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 21-6-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na
(kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Mushawar Muembeshauri Sheikh Thabit
Noman Jongo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasilia Waumini wa Dini
ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
21-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imamu Mkuu wa Masjid
Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja Sheikh.Thabit Noman Jongo, baada
ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo
21-6-2024.
No comments:
Post a Comment