Habari za Punde

WAZIRI MKUU AZINDUA KIWANDA CHA VIRUTUBISHI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa  Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Felix Church, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024.  Wengine pichani kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho  Felix Church, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo kuhusu aina ya virutubishi vinavyozalishwa na kiwanda cha Kiwanda cha kutengeneza virutubishi cha SANKU kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam, Juni 15, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.