RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mtoto wa Marehemu Walid
Fikirini,aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar,Mohammed
Walid Fikirini alipowasili katika viwanja vya Masjid Muzdalifah Bububu Wilaya
ya Magharibi “A” Unguja kuhudhuria Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea
iliyofanyila leo 17-8-2024, katika msikiti huo baada ya Sala ya Alasiri
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam
na Wanafamilia ya Marehemu Walid Fikirini, aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa
Kamisheni ya Utalii Zanzibar,katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea,
iliyofanyika leo 17-8-2024, katika Masjid Muzdalifah Bububu Wilaya ya Magharibi
“A” Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakijumuika katika
kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Walid Fikirini aliyewahi kuwa
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, kisomo hicho kilichofanyika
katika Masjid Muzdalifah Bububu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 17-8-2024
No comments:
Post a Comment