Habari za Punde

Rais Dr Hussein Mwinyi ajumuika na wanachi kumsalia marehemu Habiba Mussa aliyekuwa Sheha wa Shehia ya Migombani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Ndugu wa marehemu Habiba Mussa aliyekuwa Sheha wa Shehia ya Migombani Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Msikiti wa Mshelishelini Jangombe.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea marehemu Habiba Mussa aliyekuwa Sheha wa Shehia ya Migombani Wilaya ya Mjini Unguja, iliyofanyika katika Msikiti wa Mshelishelini Jangombe, ikisomwa na Ustadh Shariff, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti,(kulia kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe.Tofiq Salim Turky na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.