RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya
Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akisalimiana na Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa
Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho
kwa ajili ya Mahafali yaliyofanyika leo 25-1-2025.
WANANCHI WAHIMIZWA KUPAKUA GePG APP TANZANIA KURAHISISHA MALIPO
-
Na. Peter Haule na Saidina Msangi, Dodoma
Wananchi wenye Simu janja wametakiwa kupakua Aplikesheni ya Mfumo wa
Kielektroniki wa Malipo ya Serikali (GePG) i...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment