RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Umoja wa Ulaya ya Uwekezaji
Zanzibar na (kulia) Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania na Afrika
Mashariki Mhe. Christine Grau, uzinduzi
huo uliyofanyika leo 27-2-2025, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara
kati ya Zanzibar na Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Kongamano la Biashara Kati ya
Zanzibar na Umoja wa Ulaya wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini
Zanzibar lililofanyika leo 27-2-2025

No comments:
Post a Comment