Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu
Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa
njia ya Mtandao pamoja na viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
tarehe 13 Machi, 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya
ulinzi na usalama Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
MABORESHO MAKUBWA HOSPITALI YA MJI HANDENI, SERIKALI YATOA BIL.1.2 KUWEKA
VIFAA TIBA VYA KISASA
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Maboresho ya huduma za afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni
yameanza kuleta matokeo chanya baada ya idadi ya wagon...
2 hours ago




0 Comments