RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakimkabidhi Sadaka ya Iftaar Mwananchi Mkoa wa Kaskazini Pemba. Mukrim Faki
Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimkabidhi Sadaka ya Iftaar Mwananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Fatma Rashid
Said, hafla hiyo ya kukabidhi Iftaar iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete
Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akimkabidhi Sadaka ya Iftaar Mwananchi
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Shuwena Said Ali, hafla hiyo ya kukabidhi Iftaar
iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Makundi Maalumu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumaliza kuwakabidhi
Sadaka ya Iftaar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsaimia Mtoto Mohammed Karume
Mohammed, baada ya kumaliza kugawa Sadaka ya Iftaar kwa Wananchi wa Makundi
Maalumu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi
akizungumza na Dada wa Mohammed, Amina Mohammed,baada ya kumalizika kwa hafla
hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba
No comments:
Post a Comment