Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na
Balozi wa Tanzania Vatican mwenye mkazi Berlin Mhe. Balozi Hassan Mwamweta
wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Leonardo Da Vinci
uliopo Mjini Roma nchini Italia tarehe 25 Aprili 2025. Makamu wa Rais
anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan, kwenye Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa
Katoliki Duniani hayati Baba Mtakatifu Francisko yatayofanyika tarehe 26 Aprili
2025 Vatican.
WAHITIMU UDSM WATAKIWA KUTHIBITISHA UWEZO KWA VITENDO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wametakiwa kuthibitisha kwa
vitendo uwezo wao walioupata chuoni kwa kutumia...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment