Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru. Mgombea huyo wa AAFP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Shum Juma Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 9,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
TRA MARA YAPANGIWA KUKUSANYA BILIONI 208 KWA MWAKA 2025/26
-
Meneja Mara aomba ushirikiano wa walipakodi ili kuvuka lengo hilo
Awashukuru walipakodi kwa ushirikiano wao
Na. Mwandishi wetu
Mara
Meneja wa Mamlaka ya M...
34 minutes ago
No comments:
Post a Comment