Habari za Punde

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akiwa na Mkombea Mweza Kupitia Chama Cha NDL Amechukua Fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi INEC

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha National League for Democracy (NLD) na Mgombea Mweza wake wakionesha Mkoba ukiwa na Fomu ya Kugombea Urais baada ya kukabidhiwa katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi INEC. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo. Mgombea huyo wa NLD aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Chausiku Khatib Mohamed (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 10,2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.