Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha ADC Mhe. Hamad Rashid akizungumza na Mawakala wa Chama hicho wakati wa ufunguzi wa mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi hall la Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja leo 15-10-2025 na kuzungumzia Sera za Chama chake kikipata ridhiaa ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu 2025.
SERIKALI IMETOA BIL 424.6 UTEKELEZAJI MIRADI YA TANRODS RUKWA-ENG MWANGA
-
Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa
zai...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment