Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Polisi katikac mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Priemer League mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watuhumiwa wanne wakiwa na
jumla ya vipande 23 vya meno
-
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata watuhumiwa wanne wakiwa na
jumla ya vipande 23 vya meno ya Tembo, katika operesheni iliyoshirikisha
askari ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment