Habari za Punde

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Awaapisha Wajumbe Waliuoteuliwa na Mhe.Rais Dk.Hussein Mwinyi Hivi Karibuni


Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Tawafik Salim Turky kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Dkt.Juma Malik Akil kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Masoud Ali Mohammed kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Nadir Abdullatif Alwardy kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akimuapisha Mhe.Shariff Ali Shariff kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo uapisho iliyofanyika leo 7-11-2025 katika ukumbi wa Baraza lwa Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.