Habari za Punde

Mchezo wa PBZ Premier League Kati ya Mlandege na Muembemakumbi City Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege  Jamal Saleh  (kushoto) akiwani mpira na Beki wa Timu ya Muembemakumbi City Samir Khamis (kulia) wakati wa mchezoi wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League" mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanbzibar, Timu hizo zimetoka sare ya 0-0 mchezo uliyofanyika leo 8-11-2025. 


Kikundi cha uhamasishaji cha Timu ya Muembemakumbi City wakiishangilia timu yao ikicheza mchezo na Timu ya Mlandege, timu hizo zimetoka sare. 








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.