IFM YATAKIWA KUTENGENEZA MASHIRIKIANO NA WADAU SEKTA YA ELIMU KWA MASLAHI
YA TAIFA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt Hatib Kazungu ametoa Rai kwa Uongozi wa
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)Tawi la Dodom...
1 hour ago
2 Comments
@Mapara,
ReplyDeleteHaki ya Mungu hii picha imenishughulisha, nilituwa naitafuta Rahaleo ipi mbona hapaelekei? Mpaka nilipoikuza picha inakugundua kuna mabadiliko fulani hivi, hii Round about hapo siikumbuki vizuri itakuwa mpya...kama eneo la Rahaleo lenyewe ni mkabala wa makutano ya barabara inayotoka kwa Bi Ziredi kuja Kariakooo, kulia kwake kuna Skuli ya Mw'shauri na mbele yeke kuna kariakoo, huku ukipinda kushoto unaelekea posta na kulia unaelekea Michenzani. Natumai sijakosea. Naimiss zanzibar kweli.
Mdau Misri
Kama hujaja zamani huwezi kuikumbuka imeongezwa Raundi about nyengine pale sasa ziko mbili kwani ilikuwa usumbufu baadhi ya magari yanayotoka Posta kupinda kuelekea Biziredi.
ReplyDeleteAhsante Mdau