SUNI BHARTI MITTAL ATUNUKIWA TUZO YA MAISHA YA GSMA KWA MAGEUZI YA SEKTA YA
MAWASILIANO DUNIANI.
-
New Delhi, Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime
Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti
Enterprise...
3 minutes ago
2 Comments
@Mapara,
ReplyDeleteHaki ya Mungu hii picha imenishughulisha, nilituwa naitafuta Rahaleo ipi mbona hapaelekei? Mpaka nilipoikuza picha inakugundua kuna mabadiliko fulani hivi, hii Round about hapo siikumbuki vizuri itakuwa mpya...kama eneo la Rahaleo lenyewe ni mkabala wa makutano ya barabara inayotoka kwa Bi Ziredi kuja Kariakooo, kulia kwake kuna Skuli ya Mw'shauri na mbele yeke kuna kariakoo, huku ukipinda kushoto unaelekea posta na kulia unaelekea Michenzani. Natumai sijakosea. Naimiss zanzibar kweli.
Mdau Misri
Kama hujaja zamani huwezi kuikumbuka imeongezwa Raundi about nyengine pale sasa ziko mbili kwani ilikuwa usumbufu baadhi ya magari yanayotoka Posta kupinda kuelekea Biziredi.
ReplyDeleteAhsante Mdau