Mdau Khamis Hamadi Haji amefanikiwa kumaliza masomo yake ya shahada ya Uzamili katika fani ya International Transport and Logistics katika Chuo cha Arab Academy for Science, Technology and Maritime Transport kilichopo Alexandria nchini Misri. Picha hizi ni za matukio ya mahafali iliyofanyika tarehe 19/10/2010 katika Hoteli ya Four Seasons iliyopo Alexandria.
Mdau Khamis akiwa nje ya hoteli ya Four Seasons huko Alexandria - Misri
Mdau Khamis (kushoto) makiwa na wahitimu wenzake Julius kutoka Uganda (katikati) na Cosmas kutoka Zambia (kulia)



0 Comments