6/recent/ticker-posts

WACHEZAJI WASTAAFU WA USWISI WAKUTANA NA WAZIRI JIHAD




WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Abdilahi Jihad Hassan, akizungumza na kiongozi wa msafara wa wanasoka wa zamani kutoka Uswisi Hussein Muturi (wa pili kushoto) aliyewaongoza wageni hao katika ukumbi wa VIP hoteli ya Bwawani jana. Kulia ni Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Ali Ferej Tamim. (Picha na Haroub Hussein)

Post a Comment

0 Comments