MWANAMICHEZO Mohamed Raza akimkabidhi seti za jezi nahodha wa timu ya netiboli ya wanawake ya JKU, Hawa Suleiman Salum, wakati wa sherehe za kukabidhi vifaa vya michezo kwa jeshi hilo huko Makao Makuu ya JKU, Saateni mjini hapa. Kulia Mkuu wa JKU, Kanali, Sudi Haji Khatibu. (Picha na Abdallah Masangu).
Shincheonji Yadai Kifungu cha 20 cha Katiba ya Korea Kimekiukwa
-
SERIKALI imelenga waziwazi kundi maalum la kidini, ikiliita "madhara ya
kijamii" na "hatari" huku ikihamasisha mamlaka ya serikali kwa njia ya
kulipiza ...
15 minutes ago
0 Comments