Ushindi Kila Mzunguko Na Mizunguko ya Bure, Cheza Zombie Apocalypse
-
MERIDIANBET inaendelea kuvuka mipaka ya burudani ya kasino kwa kupitia
mchezo bomba wa Zombie Apocalypse. Huu si mchezo wa kawaida wa mizunguko
pekee, ba...
12 hours ago
2 Comments
Gizenga street hurumzi.
ReplyDeleteHii sio Hurumzi. Hapa ni Mkunazini kutokea kwa Batash kwendea Majestic upande wa kushoto kuna msikiti mbele(Kwa Shariff) na kulia enzi hizo kulikuwa na hospitali ya meno na mbele zaidi nakumbuka kulikuwa na hoteli ya Flamingo na duka la Budda la vifaa vya magari. Sina hakika kuwa mpaka leo hali ni hiyo. Nina mwaka wa tisa sijakanyaga Zanzibar. Hivi naelezea naona kama natembea vichochoroni.
ReplyDeleteThanks Mapara.