Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim, akimkabidhi Mwenyekiti wa Maskani ya Wazee wa Muembeladu Taxi Stand Iddi Ali, ikiwa ni mchango wake kuifanyia ukarabati maskani hiyo ambayo imetiwa moto na watu wasiojulikana wakati wa vurugu zilizotokea wiki iliopita.   
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kwahajitumbo Baguani Mshamba, akimkabidhi Mwenyekiti wa Maskani ya Muembeladu Taxi Stand,Iddi Ali shilingi laki moja ikiwa mchango wa ujenzi wa maskani hiyo. 
Mwenyekiti wa Maskani ya Muembeladu Taxi Stand Iddi Ali, akitowa shukrani kwa Mwakilishi wao baada ya kuwakabidhi fedha shilingi laki tano kwa ajili ya kufanyia matengenezo maskani hiyo baada ya kutiwa moto na Watu wasiojulikana wakati wa vurugu zilizotokea wiki zilizopita.