6/recent/ticker-posts

Tujikumbushe historia yetu - kisima cha wivu cha Pujini

  Moja ya mabaki ya Ofisi za mtawala wa karne ya 15 Mohammed Abdulrahman ( Mkamandume) yalioko huko Pujini Pemba

Kisima cha wivu ambacho kilitumiwa na wake wawili wa mtawala wa karne ya 15 Mohammed Abdulrahman ( Mkamandume) huko Pujini. Inasemekana mke mmoja akiteremka vidaraja na kuteka maji kwa kata na mwengine kwa ndoo bila ya wake hawa kuonana na hatimaye kisima kupewa jina la wivu

Picha na Bakar Mussa - Pemba

Post a Comment

0 Comments