Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kulia akimkabidhi Fulana Mratibu wa Benki ya Damu Zanzibar Dkt. Bakari Magarawa, kwa ajili ya Siku ya Maadhimisho ya Siku ya Kuchangia Damu Zanzibar itakayofanyika katika viwanja vya Kituo cha Huduma za Damu Salama Amaan. Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka tarehe 12, Juni na kwa Wananchi kwa kuchangia Damu kwa ajili ya kuweka katika Benki ya Damu Zanzibar kwa ajili ya kusaidia Wananchi mbalimbali wanapokuwa na matatizo ya kuengezea damu.Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Darajani na kushoto Ofisa Masoko wa PBZ Mwanaharusi Ali Mohamed.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
10 hours ago
0 Comments