WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dkt. Mwinyihaji Makame akimkabidhi seti ya Computer iliotolewa ahadi na Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume wakati alipokuwa Madarakani kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kengeja Pemba, apokea Computer hiyo Mwakilishi wa Mtambile Mohammed Haji Khalid,(kushoto) makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani
Mfumo Mpya wa Kodi Kuleta Mapinduzi Makubwa ya Ukusanyaji wa Mapato Nchini.
-
Na Mwandishi Wetu
Hatua kubwa ya mageuzi ya kodi nchini imefikiwa kufuatia tangazo la kuanza
kutumika kwa mfumo mpya wa ukusanyaji wa kodi za ndani, hatua...
35 minutes ago
3 Comments
Naona kama kawaida.. 'kijiji' cha viongozi kiko Pemba kugawa computer...sijui nani anagharamia safari, malazi na posho zao wakiwa huko?...this is Z'bar..the spice Islands!!!
ReplyDeleteYaaani hivi huyu waziri na wakilishi kukusanyika woote kisa kutoa cumputer moja!!! na mapicha kupiga '' mmhh kazi ipo SMZ
ReplyDeleteNi aibu karine 21,ndio kwanza tuna kabizi seti1 ya kompuyuta ndani ya skuli ya sc, viongozi kundi zima?
ReplyDelete