Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazamiaji na Uokozi Zanzibar Faki Mbarouk Faki, akitowa shukrani kwa PBZ kwa msaada wao na kuona umuhimu wa kusaidia jamii kwa nyanja mbalimbali za maendeleo ili kufanikisha malengo yao katika kusaidia jamii, na kusema amezitaka taasisi nyengine kuiga mfano wa PBZ kuwa karibu na Jamii katika kutowa misaada ya hali na mali.
Air Tanzania Yatua Victoria Falls kwa Mara ya Kwanza, Yaongeza Safari
Zimbabwe
-
NDEGE ya Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) imefanya first touch down
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Victoria Falls, Zimbabwe, leo mchana
t...
5 hours ago
2 Comments
Jamaa hawa pbz vipi naona matumizi yao kilasiku wanazo hizo pesa au hizo za watu wakiziona nyingi wanafikiria zao, meneja angalia vizuri pesa zilowekwa humo sio pesa za PBZ, pia mabenki nayo hufilisika kuwa muangalifu baba
ReplyDeleteNaona ndio kwanza wana kurupuka sas kusaidi taasisi za kijamii walikuwa wana kulatu, tangu kuja hizi kampuni za bara kuwazina jishughuli na wao wanai ga japo kido pia sihaba kuliko kukosa kabisa
ReplyDelete