6/recent/ticker-posts

Afisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar yateketeza CD na Mkanda ya Video

 
 Wafanyakazi wa Ofisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar wakiwa katika zoezi la kutia moto CDna Casseti walizozikamata kwa Wafanyabiashara wanaokiuka sheria ya umiliki wa kazi za Wasanii, kwa kutowa kopi bila ya ruhusa ya wamiliki halali wa Kazi hizo.



 Maofisa wa Idara ya Mazingira na Mizitu wakifuatilia Uchomaji wa moto Mikanda ya michezo iliokamatwa na Afisi ya Msajili wa Hakimiliki Zanzibar kwa wafanyabiashara wanaoiba umuliki wa Nyimbo na Michezo kwa kuuza na kutowa Kopi bila ya Ruhusa ya wamiliki wa michezo hiyo. zoezi hilo la uchomaji wa mikata hiyo limefanyika katika uwanda wa Kikungwi Wilaya ya Kasuni Unguja leo asubuhi. likiwa chini ya uangalizi wa Maofisa wa COSOZA na jeshi la Polisi Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments