6/recent/ticker-posts

KMKM na Malindi Ligu Kuu ya Zanzibar Grand Malt, Malindi Imeshinda 1--0.

 Golikipa wa timu ya Malindi akiokoa mpira galini kwake, huku beki wake akimlindawakati mshambuliaji wa timu ya KMKM akijaribi kusogea. 



 Mchezaji wa timu ya Malindi mwenye mpira akimpita beki wa timu ya KMKM, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt, timu ya Malindi imeshinda 1--0 
                            Golikipa wa timu ya KMKM akiokoa moja ya hatari golini kwake.
 Waamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar wakitoka uwanjani baada ya kumalizika dakika 90 za mchezo kati ya KMKM na Malindi, katika mchezo huo timu ya Malindi imeshinda 1--0
Waandishi wa habari za michezo Zenj wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt kati ya timu ya KMKM na Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Malindi imeshinda 1--0

Post a Comment

0 Comments