Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akijaribu kumpiga chenga beki wa timu ya Mtende mwenye jezi ya buluu wakati wa mche wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt. mchezo uliofanyika uwanja wa Mao.
Hekaheka langoni mwa timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt mchezo uliofanyika katika uwanja wa Mao, timu hizi zimetoka sare ya kutokufungana.
0 Comments