Huu ni ustaarabu gani jamani ? Kuweka au kuninginiza viatu katika waya ambazo hutowa huduma ya mawasiliano kwa wananchi hufanya ndio henga ya viatu kama inavyoonekana na kupaniu katika picha hii.
Huu ndio ustarabu, wetu hapa znz ukiachila mbali hivo viatu vilo pachikwa juu kuonesha hapo pahala pana uzwa madawa ya kulevya, na sio kuwa viongozi, waserekali, ya umoja wakitaifa, hawajui, wana fumbia macho, tuangalie hayo majumba, ya michenzani, ukiya pitaa karibu utazani ya mejngwa mika 100 iyopita, tangu,mh, karume ayajenge, mpaka atakapo fufuka, ndio angalau ya fikirwe rangi, na, sasa tunataka, kujenga mnara, tufuje pesa za walipa kodi bure, mapinduzi tume shinda kuyaenzimsitudanganye
Ni matokeo ya usimamizi mbovu wa sharia za nchi! Tusiangalie tu kuning'inia kwa viatu kwenye nyaya za simu, bali tuangalie hata hilo jengo hapo pembeni utadhani nchi imehamwa!
Dunia nzima kunakua na sharia zinazosimamia maendeleo ya miji ikiwa ni pamoja na kupiga rangi majengo ya mijini, kutunza mazingira nk. lkn. Zeni ni mapinduzi daima tu!
2 Comments
Huu ndio ustarabu, wetu hapa znz ukiachila mbali hivo viatu vilo pachikwa juu kuonesha hapo pahala pana uzwa madawa ya kulevya, na sio kuwa viongozi, waserekali, ya umoja wakitaifa, hawajui, wana fumbia macho, tuangalie hayo majumba, ya michenzani, ukiya pitaa karibu utazani ya mejngwa mika 100 iyopita, tangu,mh, karume ayajenge, mpaka atakapo fufuka, ndio angalau ya fikirwe rangi, na, sasa tunataka, kujenga mnara, tufuje pesa za walipa kodi bure, mapinduzi tume shinda kuyaenzimsitudanganye
ReplyDeleteNi matokeo ya usimamizi mbovu wa sharia za nchi!
ReplyDeleteTusiangalie tu kuning'inia kwa viatu kwenye nyaya za simu, bali tuangalie hata hilo jengo hapo pembeni utadhani nchi imehamwa!