Matayarisho ya ujenzi wa Mnara wa kumbukumbu wa Miaka 50 ya Mapinduzi unaotarajiwa kujengwa katika eneo hili la wazi katika bustani ya michezani jumba namba 2, Eneo hili lilotayarishwa kwa ajili ya Mnara huu unaotarajiwa kujengwa kuazia sasa ikiwa ni moja ya historia ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
1 hour ago
3 Comments
Samahani wananchi wenzangu,
ReplyDeletehivi kwanini hamuandamani katika hili? Haiwezekani serikali masikini kama hii ijenge mnara wa miaka hamsini ya mapinduzi katika eneo ambalo linaweza kujengwa kitu chenye manufaa kwa nchi na wananchi wake katika kusherehekea sherehe hizo kwa manufaa zaidi. Kwa nini wasingejenga shule ya chekechea ya mfano ya kuandimisha miaka 50 ya mapinduzi, au wasijenge kiwanja cha mpira wa mikono kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi, au kwa nini wasijenge tanki la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita laki moja kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi au hata kujenga kitu chenye manufaa kwa wananchi kuliko minara yenye kuleta urembo na kutumia pesa nyingi ya walipa kodi? Huu ni wizi
hili eneo tayari linatumika kwa raia kwa mambo mbalimbali , huu mnara ni wanini? hayo mapinduzi hayajesha tu? wenzetu wote wanaopindua nchi huwa ni kwa muda tu , sisi mpaka leo tunajiita serikali ya mapinduzi , demokrasia iko wapi? serikali ya kiraia iko wapi? haya mapinduzi zaidi ya kutulea karaha ya muungano , matatizo ya umeme , maji , elimu mbovu , hsopitali duni nk ni kipi cha kusheherekea?
ReplyDeleteKwanza ujue waznz, wachache ndio, wenye uwezo, mzuri wa kufikiri, wengi wao akilizao ziko kwenye mbo ya kiwehu, hakuna, ataye weza kutoa malamiko, ya udfujaji, wa pesa za walipakodi, zanzibar, hakuna upinzai wa kuikosoa serkali, hao tulio wategeme na wakatuahidi nema nyingi, kumbe walafi kama hawao, wenzi wao waliyo kuwa nayo, kabla kuja ummoja wa kitaifa, tulizani umoja wakitaifa, utasaidi kupunguza uharibifu wa mali za uma kumbe na wao mapapa hatari nyamrani, kimya hatuwasiki kwenye baraza hoja zakipuzi kelele zinkuwa nyingi ufujaji wa fedha kimya
ReplyDelete