Wadau wa mji wa Chakechake Pemba wakiwa katika harakati za mchana kutafuta mahitaji yao katika mji huo, ni maarifuu kwa wageni wanaotembelea Pemba hufika katika mjii huu kwa mahitaji yaomkutokana na uchangamfu wake na ukarimu wa Watu wa Chakechake.
RC KANALI KIDO AAHIDI KIPAUMBELE CHAKE NI ULINZI NA USALAMA MKOANI KAGERA
-
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Mkoa wa Kagera kanali Yahaya Ramadhani Kido amesema suala la
ulinzi na usalama litakuwa kipaumbele chake cha kwanza kutokana ...
1 hour ago
1 Comments
Nice views ya kisiwa cha marashi ya karafuu):
ReplyDeleteahsanteni sana kwa kutuwekea picha za zanzibar islands
wenzenu tuko mbali tumeondoka huko miaka 15 iliyopita
tunaona raha sana kuona picha kama hizi za nyumbani
Mdau
Canada