Sir Jecha Thabit Kombo hatunae tena dunia, amefariki dunia jana usiku kwa kusumbuliwa na maridhi ya Sukari, marehemu Sir Jecha anatarajiwa kuzikwa leo katika kijiji cha Chukwani baada ya sala ya ijuma kwa mujibu wa habari tlizozipata kupitia kwa jamaa na ndugu marehemu ataondokea mwanakwerekwe na kuzikwa Chukwani
BALOZI LUVANDA APONGEZA MIKAKATI YA NEMC UTEKELEZAJI DIRA 2050
-
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka
Luvanda (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la
Hifadhi n...
52 minutes ago
1 Comments
Jamani, tupeni historia fupi ya marehemu wacheni mzaha! visiwa ya watu 1200,000 watu tunashindwa kujuana!
ReplyDeleteBinafsi yangu sikuwahi kumfahamu lkn. niliwahi kusikia kua alikua miongoni mwa mabaharia wa mwanzo wa marehemu MV MAPINDUZI.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amin!
Mungu alilaze