Wananchi wa kijiji cha Chamani wakiwa na vipolo vya wakirudi kuchuma karafuu, wakitumia usafiri wa baskeli ni moja ya usafiri mwepesi na wa haraka katika maeneo ya vijijini.
Benki ya Stanbic yatoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia Kampeni ya Masta
wa Miamala
-
Benki ya Stanbic Tanzania imetoa zawadi za msimu wa sikukuu kupitia kampeni
inayoendelea ya Masta wa Miamala.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyoambatana ...
9 hours ago
1 Comments
Ahsante kwa picha nzuri. Niliishi kijiji hichi takriban miaka 25. Siamini Leo nipo kwa Obama. Mtu Ni kwao. I miss it alot!.
ReplyDelete