Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Wawekezaji aliofuatana nao katika ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja.
Wawekezaji katoka Nchini Uholanzi wakizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pamoja na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ziara ya siku moja.
Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bam International nchini Uholanzi Bw.Boaz Neugebauer, alipkuwa akiuliza masuala wakati wa mazungumzo kati ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mawaziri wake na Ujumbe wa Wawekezaji Kutoka Uholanzi ukiongozwa na Waziri wa wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo pamoja na wawekezaji aliofuatana nao kwa ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen,(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi,Makatibu na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uholanzi baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]







1 Comments
dr sheni naona kumekuwa na wimbi la wawekezaji kutoka kila nchi kuja kuwekeza hapa kwetu, jee kwa nini hatuwapi wazawa kipaumbele kwanza , kumbuka fimbo ya mbali haiui nyoka , tujaribu kuwaenzi wawekezaji wetu wa ndani kwanza.Dunia hii ndugu hamtakii heri ndugu yake, kila mmoja anatafuta mafao yake , kweli watu kutoka mataifa ya nje watatutakia heri sisi? Waangalie pia maofisa wako uliowakabidhi hii kazi ya uwekezaji watachukua pasenti ( asilimia) wawaidhinishe wawekezaji hewa au holela
ReplyDelete