Huu ni Uharibifu wa mazingira katika makazi ya Wananchi, Kama inavyoonekana pichani kuna baadhi ya Wafanyabiashara wameutelekeza Unga wa Uanga ambao umeharibika na kutokufaa kwa matumizi ya Binaadamu, ukiwa umetupwa katika eneo hili na kuufanya kama ngazi za kupitia wananchi kuelekea nyerere ikizingatiwa wakati huu wa mvua unaweza kusambaa na kuleta madhara kwa wananchi wa eneo hilo
WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMA
-
Sehemu ya Mtambo wa kisasa unaotumika kuhakiki dira za maji. Mtambo huu wa
kidijitali umefungwa katika Jengo la Makao Makuu ya Wakala wa Vipimo (WMA),
Do...
1 hour ago
0 Comments