6/recent/ticker-posts

Wanafunzi watembelea sehemu za kihistoria Pemba



MWANAFUNZI ambae hakupatikana jina lake, akisoma bango la mtawala Haroun lilikoko Chwaka Tumbe wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wanafunzi skuli za sekondari za mkoa wa kusini Pemba, walipokuwa na ziara maalum ilioandaliwa na Kamisheni ya Utalii Pemba, ili kuamsha ari ya utalii kwa wote (picha na Haji Nassor, Pemba)    


Post a Comment

0 Comments