Mdau mambo ya mtoni hayo nao hutumia namba za gari sawa na za kwetu kamainavyoonekagari ikiwa ikiwa na ya SMZ 600 hii imeleta taka kwenye kituo cha kupokelea taka hapa Kiruna
Afisa tawala mstaafu wa wilaya ya Kusini, ndugu Abdallah A Kombo akitafakari kuhusu namna taka zinavyoshughulikiwa katika mji wa Kiruna.Wakati wa ziara yao ya kimasomo nchini huo ili kuweza kuleta maendeleo katika Wadi za huku nyumbani wakiwa na ujumbe wa watu siti kutoka Wadi za Makuduchi Wilaya ya Kusini Unguja Zanzibar.
Haya ni mafriji yaliyotumika ambayo wenyewe hawayahitaji tena. Mali hii imeletwa hapa kwenye kituo kama taka. Mafriji mabovu Zanzibar yanaishia wapi? Wakati umewadia kwa serikali kuzisaidia kampuni kama ZANREC ambayo hivi sasa inajishughulisha na taka.

Taka aina ya betri na aina kama hiyo hushughuli


1 Comments
Wageni wa Kimakunduchi Kiruna msishangae kuona mafriji kama hayo yanatupwa.Ulaya yote kulitengeneza friji lililokataa kazi,basi gharama yake ni kubwa zaidi kuliko kulilinunua jipya.Wakati Zenj kutengeneza friji ni rahisi zaidi kuliko kulinunua jipya au mtumba.
ReplyDelete