Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akifurahia jambo wakati akizungumza na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn
Msechu, ofisini kwake Migombani.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini
Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn
Msechu, ofisini kwake Migombani. (picha na Salmin Said, OMKR).



0 Comments