Elimu ya uchaguzi kutoka nchi zilizoendelea kidemokrasia ni jambo jema kwa nchi changa.
Ujumbe wa Makunduchi ulipata fursa kujifunza jinsi ya uchaguzi wa bunge la jumuia ya Ulaya unavyoendeshwa.
Kwa kifupi, kwa mujibu wa maelezo ya ndugu Maria (kwenye picha) mwananchi anaweza kupiga kura mapema kabla ya siku iliyopangwa uchaguzi kuwadia (pre-election).
Hivi sasa Sweden iko kwenye uchaguzi kuchagua wabunge kujiunga na Bunge la Ulaya (2014 European Parliament Election). Sweden inatoa wabunge 20 kujinga na bunge hilo lenye wajumbe zaidi ya 600.
0 Comments